Rodolfo Montiel Flores

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rodolfo Montiel Flores ni mkulima wa kujikimu wa Mexico, kutoka kijiji cha El Mameyal katika jimbo la Guerrero.

Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 2000 [1] kwa kuandaa maandamano dhidi ya ukataji miti uliokithiri katika wilaya yao.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Goldman Environmental Prize: Rodolfo Montiel Flores (Retrieved on December 16, 2016)