Rodjaraeg Wattanapanit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Rodjaraeg Wattanapanit
Rodjaraeg Wattanapanit akiwa katika Tuzo za Wanawake wa Ujasiri wa Kimataifa mwaka 2016.
Kazi yakeMwanaharkati

Rodjaraeg Wattanapanit ni mwanaharakati wa uhuru wa kusema nchini Thailand na mmiliki wa duka la vitabu. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shirika la Creating Awareness for Enhanced Democracy (CAFÉ Democracy), shirika lililoko katika duka lake la vitabu ambalo lengo lake ni kurahisisha kubadilishana kwa huru wa mawazo.[1]Mwaka 2016, alipokea Tuzo ya Wanawake wa Ujasiri wa Kimataifa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Secretary Kerry Honors 14 Women of Courage". United States Department of State. 28 March 2016. Iliwekwa mnamo 8 August 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "World Learning Hosts 2016 International Women of Courage". World Learning. March 29, 2016. Iliwekwa mnamo August 8, 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodjaraeg Wattanapanit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.