Robert Mshengu Kavanagh
Mandhari
(Elekezwa kutoka Robert Malcolm McLaren)
Robert Mshengu Kavanagh (amezaliwa 1944 mjini Durban) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Pia anatumia jina Robert Malcolm McLaren. Hasa anajulikana kwa kuendeleza tamthiliya za nchi za Afrika ya Kusini miaka ya sabini karne iliyopita. Pia alitafsiri na kuhariri mashairi ya Kixhosa.
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]- South African People's Play (mhariri, 1981)
- Theatre and Cultural Struggle in South Africa (1985)
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (en) wasifu ya Kavanagh
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Mshengu Kavanagh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |