Road Town
Mandhari

| Road Town | |
| Nchi | Visiwa vya Virgin vya Uingereza |
|---|---|
Road Town ni mji mwenye wakazi 2,500 kwenye kisiwa cha Tortola na mji mkuu wa Visiwa vya Virgin vya Uingereza katika Bahari ya Karibi.
Mji upo kando la hori ya bahari ya Road Harbour kenye pwani la kusini ya kisiwa.
Road Town ni kitovu kimojawapo katika Bahari ya Karibi kwa ajili ya watalii wanaokodi maboti ya mapumziko.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Ramani ya Road Town Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Ramani ya Kisiwa cha Tortola Ilihifadhiwa 27 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Road Town kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |