Rita Barcelo y Pages
Mandhari
Rita Barcelo y Pages (20 Aprili 1843 – 14 Mei 1904) alikuwa mwanzilishi wa Masista Waaugustino wa Bikira Maria wa Faraja huko Hispania. Alikuwa dada wa Joaquina Maria Mercedes Barcelo Pages, ambaye pia alikuwa mwasisi wa jumuiya hiyo.
Mchakato wa kumtangaza mwenye heri (beatification) umefunguliwa.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mother Rita Barcelo y Pages, OSA". lcctanauan.edu.ph (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-22. Iliwekwa mnamo 2018-02-17.
- ↑ "Mother Rita Barcelo Community Center". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-14. Iliwekwa mnamo 2016-01-31.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |