Richard Saidi Nyaulawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Richard Saidi Nyaulawa (amezaliwa tar. 26 Desemba 1961) ni mbunge wa jimbo la Mbeya Vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Richard Saidi Nyaulawa (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.