Reubeni (babu)
Mandhari
Reubeni ni jina la mtoto wa kiume wa kwanza wa Yakobo Israeli na babu la kabila la Israeli lililoitwa kwa jina lake mwenyewe.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reubeni (babu) kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |