Nenda kwa yaliyomo

Renate Adolph

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Renate Adolph (alizaliwa Berlin,Ujerumani, 20 Machi 1954) ni mwanasiasa wa zamani wa chama cha Die Linke na vyama vilivyotangulia, yaani Chama cha Umoja wa Kisoshalisti cha Ujerumani (SED) na Chama cha Kisoshalisti cha Kidemokrasia (PDS). Aliingia katika chama mwaka 1976 akawa diwani wa eneo mwaka 2003.[1][2]

  1. ""Im Westen ist die Wirkung verheerend" - Bundespartei unruhig wegen Brandenburg - Märkische Allgemeine - Nachrichten für das Land Brandenburg". Maerkischeallgemeine.de. 2006-12-28. Iliwekwa mnamo 2011-04-10.
  2. "Neuer Stasi-Fall in der Linksfraktion - Renate Adolph legt Mandat nieder / Gerlinde Stobrawa gibt Spitzenamt auf - Märkische Allgemeine - Nachrichten für das Land Brandenburg". Maerkischeallgemeine.de. Iliwekwa mnamo 2011-04-10.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Renate Adolph kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.