Nenda kwa yaliyomo

Regina Kihwele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Regina Kihwele (pia anajulikana kama Gynah) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji na mwanamitindo wa Tanzania.[1]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Regina alipata mafanikio yake ya kwanza mwaka 2016 kwenye kipindi cha Broadway ambacho kilitayarishwa na Lady Toussaint Duchess nchini Marekani ambapo alipata nafasi ya kuimba jukwaani.[2] Baada ya kumaliza shule elimu ya upili mnamo mwaka 2017 alianza kuwachora watoto kama majaribio pia mwaka huohuo mwezi Oktoba alianza mafunzo ya kazi kampuni inayoitwa Focus Production kama mkurugenzi msaidizi na akacheza filamu yake ya kwanza mwaka uliofuata.[3]. Baade mwaka 2018 alishiriki kama mgombea mashindano ya Miss Kinondoni.

Gynah pia ni mmoja wa waanzilishi wa Nafasi Film Club iliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka 2022 ambayo inasimamiwa na Walt Mzengi na True Hinds[4].

mwaka waandaaji wa Tuzo Tuzo/Kipengele Kazi/Mpokeaji Matokeo
2021 LIPFF Muigizaji Bora wakike Regina Kihwele Ameshinda[5][6]
2018 Miss Kinondoni Awards Miss Kinondoni Alishiriki[7]

Filamu alizoshiriki

[hariri | hariri chanzo]
  1. Kidoti[8]
  2. Mulasi[9]
  3. Binti[10]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Regina Kihwele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.