Rebecca Chalker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rebecca Chalker (amezaliwa 1943) ni mwanaharakati wa haki za wanawake ambaye ni mwandishi wa vitabu kadhaa vya afya za wanawake. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Love, Barbara J. (2006-09-22). Feminists Who Changed America, 1963-1975 (kwa Kiingereza). University of Illinois Press. ISBN 978-0-252-09747-8.