Ray Ntlokwana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mnamo machi 2000, pia alishinda tuzo ya kifalme ya mafanikio na serikali ya jimbo la cape magharibi kwa mchango wake katika maigizo katika cape magharibi kwa miaka minga.


Kifo[hariri | hariri chanzo]

Ntlokwana alifariki kwa ugonjwa wa colon cancer Akiwa Nyumbani kwake Gugulethu na miaka 63 mnamo julai 20 mwaka 2000.[1] Alikuwa anaishi na mke wake , Ntombizodwa Shirley Ntlokwana,[2] na watoto wake.Alizikwa tarehe 29 baadaye mwezi huo.[3]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ray Ntlokwana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[J amii:Arusha MoAC]]

  1. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named naspers2000
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named :0
  3. "Mvuyiswa Renek Ntlokwana (1937 – 2000)". FamilySearch.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)