Rasata Rafaravavitafika
Rasata Rafaravavitafika (amezaliwa 1987) ni mwanasiasa wa Madagascar ambaye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar tangu Januari 2024.
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Rafaravavitafika alihitimu kutoka shule ya Kitaifa ya Utawala wa Madagascar (ENAM) na ana PhD katika Mahusiano ya Kimataifa na Diplomacy kutoka kituo cha Utafiti wa Kidiplomasia na Kimkakati huko Paris. [1]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Rafaravavitafika alifanya kazi ndani ya Wizara ya mambo ya nje kwa miaka kadhaa, kama Mkuu wa wafanyakazi,mseamaji na mkurugenzi wa upanuzi wa kiuchumi.[1] Rafaravavitafika aliteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje na Rais Andry Rajoelina mnamo 15 Januari 2024.[2] Wakati wa kuapishwa kwake alisema kuwa vipaumbele vyake vitakuwa kukuza diplomasia ya kiuchumi, ushiriki wa watu wa Madagascar katika maendeleo ya nchi, na kukuza picha ya nchi nje ya nchi.[3] Alikutana na Balozi wa Merika Claire Pierangelo mnamo 5 Februari,[4] kabla ya kuhudhuria mkutano wa 7 wa Bahari ya Hindi huko Perth[5]
Mnamo Juni 2024, alisherehekea ufunguzi wa ubalozi wa Madagascar nchini Moroko na mwenzake Nasser Bourita,[6] wakisaini taarifa ya pamoja juu ya maendeleo ya ndani ya Afrika.[7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Rembert, Nelly (5 Machi 2024). "Qui est Rafaravavitafika Rasata ?". L'Echo Du Sud (kwa French). Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Madagascar President Andry Rajoelina unveils 27-member cabinet". ZBC News. 16 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ministère des Affaires étrangères: Rasata Rafaravavitafika trace ses priorités" (kwa French). Newsmada. 17 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Ambassador Pierangelo meets with Minister of Foreign Affairs". US Embassy in Madagascar. 5 Februari 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jaishankar discusses bilateral ties with Madagascar Foreign Minister at 7th Indian Ocean Conference in Perth". ANI. 10 Februari 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Madagascar Celebrates Upcoming Embassy Opening in Rabat". Federation of Arab News Agencies. 14 Juni 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Morocco-Madagascar: Key points of the joint communique". Kingdom of Morocco Ministry of Foreign Affairs. 14 Juni 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)