Rapa Iti
Mandhari
Rapa Iti (au Rapa) ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Tubuai. Eneo la kisiwa ni 40 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ahurei. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 515. Watu wakaao kisiwani kwa Rapa Iti huongea Kirapa na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|