Rajive Bagrodia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rajive Bagrodia, Ph.D.[1] ni mjasiriamali na mtaalamu wa kompyuta Mmarekani mwenye asili ya Uhindi. Ni mwanzilishi na afisa mkuu wa kiufundi wa Scalable Network Technologies na pia ni profesa wa elimu ya juu katika sayansi ya kompyuta katika chuo cha UCLA[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rajive Bagrodia" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-09. 
  2. "Search For Faculty | UCLA Samueli School Of Engineering" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.