Rainforest Action Network

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rainforest Action Network (RAN) ni shirika la mazingira lenye makao yake huko San Francisco, California, Marekani. Shirika hilo lilianzishwa na Randy "Hurricane" Hayes pamoja na Mike Roselle mwaka wa 1985, na lilipata umaarufu wa kwanza kitaifa katika kampeni ya mashinani ambayo mwaka 1987 ilifanikiwa kumshawishi Burger King kufuta kandarasi za uharibifu wa misitu ya mvua Amerika ya Kati yenye thamani ya dola milioni 31.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nosowitz, Dan (2019-09-16). "How the Save the Rainforest movement gave rise to modern environmentalism". Vox (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-11-13.