Nenda kwa yaliyomo

Qurrat Ann Kadwani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Qurrat Ann Kadwani (amezaliwa Mei 10, 1981) ni mwigizaji wa televisheni, mwandishi na mtayarishaji wa filamu wa Marekani mwenye asili ya Kihindi.

Anajulikana kwa They Call Me Q (2014), Intrusion (2018) na The Fifth of November (2018).[1]

  1. Rajan, Sujeet (2014-05-06). "A tale of two actresses at Pranna in New York – Bipasha Basu and Qurrat Ann Kadwani". The American Bazaar (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-06-26.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Qurrat Ann Kadwani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.