Puma
Mandhari
Jina la Puma linaweza kumaanisha
- Puma (mnyama), wanyama wa familia ya felidae (paka) wa mwitu huko Amerika
- Puma (Ikungi), kata ya Mkoa wa Singida, Tanzania
- Puma SE, kampuni ya Kijerumani inayotengeneza viatu, nguo na vifaa vya michezo