Prem Jain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prem Jain

Prem Jain (26 Januari 193620 Septemba 2018) alikuwa mhandisi wa mitambo kutoka India,[1], akijulikana kama Baba wa Majengo ya Kijani nchini India.[2][3] Jain aliwahi kuwa mwenyekiti wa Baraza la Ujenzi wa Kijani la India (kwa Kiingereza: Indian Green Building Council (IGBC)).[4][5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. www.ETRealty.com. "Green buildings are technically feasible & economically viable: Prem C Jain, Chairman, IGBC - ET RealEstate". ETRealty.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-16. 
  2. Imchen, Atula. "Honouring a Legend – The Father of Green Buildings – (Late) Dr. Prem Jain | CSR Mandate" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-03-16. 
  3. World-Herald, Prem Jain Special to The. "Prem Jain: Why is Warren Buffett so successful? The answer may lie at Berkshire's annual meeting". Omaha.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-06-27. 
  4. "~ Green Building Congress 2017 ~". activeads.in. Iliwekwa mnamo 2019-03-16. 
  5. Kumar, V. Rishi. "Prem C Jain, head of green building council, passes away". @businessline (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-16. 
  6. "Interview with Dr Prem C Jain, Chairman, Indian Green Building Council". Realty Plus Magazine (kwa en-US). 2018-04-03. Iliwekwa mnamo 2019-03-16. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prem Jain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.