Nenda kwa yaliyomo

Polystyrene sulfonate

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jina la (IUPAC)
Poly(4-vinylbenzenesulfonic acid)
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Sodium salt: Kayexalate, Kionex, Resonium A
Calcium salt: Calcium Resonium, Sorbisterit, Resikali
AHFS/Drugs.com Monograph
MedlinePlus a682108
Kategoria ya ujauzito C(US)
Hali ya kisheria ℞ Prescription only
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mdomo, uhifadhi wa enema
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili Hakuna
Kimetaboliki Hakuna
Utoaji wa uchafu Kinyesi (100%)
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Data ya kikemikali
Fomyula [C8H7SO3−] n
 N(hii ni nini?)  (thibitisha)
Jina la (IUPAC)
Poly(4-vinylbenzenesulfonic acid)
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Sodium salt: Kayexalate, Kionex, Resonium A
Calcium salt: Calcium Resonium, Sorbisterit, Resikali
AHFS/Drugs.com Monograph
MedlinePlus a682108
Kategoria ya ujauzito C(US)
Hali ya kisheria ℞ Prescription only
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mdomo, uhifadhi wa enema
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili Hakuna
Kimetaboliki Hakuna
Utoaji wa uchafu Kinyesi (100%)
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Data ya kikemikali
Fomyula [C8H7SO3−] n
 N(hii ni nini?)  (thibitisha)

Polystyrene sulfonates ni kundi la dawa zinazotumiwa kutibu potasiamu ya juu ya damu.[1][2] Athari zake kwa ujumla huchukua saa moja hadi siku moja.[1] Dawa hii inaweza kuchukuliwa kwa mdomo au kwa njia ya haja kubwa.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kupoteza hamu ya kula, kuvurugika kwa mfumo wa utumbo, kuvimbiwa choo na upungufu wa kalsiamu katika damu.[1] Madhara yake makubwa yanaweza kujumuisha jeraha la matumbo, upungufu wa elektroliti na kushindwa kwa moyo.[1] Dawa hii inafanya kazi kama resin ya kubadilishana cationi (cation).[1]

Sulfonate ya sodiamu ya polystyrene iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1958.[1] Nchini Marekani, chumvi ya sodiamu iligharimu takriban dola 60 kwa gramu 450 kufikia mwaka wa 2021.[3] Nchini Uingereza, kiasi hiki cha chumvi ya sodiamu hugharimu takriban £81 huku chumvi ya kalsiamu ikigharimu takriban £125.[2]

  1. 1 2 3 4 5 6 7 "Sodium Polystyrene Sulfonate Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 25 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 1 2 BNF (tol. la 80). BMJ Group and the Pharmaceutical Press. Septemba 2020 – Machi 2021. uk. 1117. ISBN 978-0-85711-369-6.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: date format (link)
  3. ↑ "Sodium polystyrene sulfonate Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)