Pita Amor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Guadalupe Teresa Amor Schmidtlein (maarufu kama Pita Amor; Mexico, 30 Mei 1918 - ibidem, 8 Mei 2000) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Mexico. [1]

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

  • 1946 : Yo soy mi casa
  • 1947 : Puerta obstinada
  • 1948 : Círculo de angustia
  • 1949 : Polvo
  • 1953 : Décimas a Dios
  • 1958 : Sirviéndole a Dios, de hoguera
  • 1959 : Todos los siglos del mundo
  • 1984 : Soy dueña del universo

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.epdlp.com/escritor.php?id=3294


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pita Amor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.