Pieter van Jaarsveld

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pieter van Jaarsveld,kitaalam akifahamika kama Bobby van Jaarsveld, ni muigizaji, mtunzi wa muziki na muimbaji wa muziki pop kwa lugha ya Kiafrikaan kutoka Mwafrika kusini. Van Jaarsveld ambae alipewa jina la utani la “Bobby” kutoka kwa baba yake,alizaliwa tarehe 6 Machi 1987 huko Paarl, cape ya Magharibi.Ni mtoto wa pili kwenye familia ya watoto wa tatu na ana dada zake wawili, mmoja wao akiwa ni muimbaji wa muziki(Karlien van Jaarsveld).Akiwa mtoto, alisoma shule mbalimbali za msingi kabla ya kuhitimu katika shule ya elimu ya juu ya Brits.

[1][1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pieter van Jaarsveld kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.