Philip Anderson
Mandhari
(Elekezwa kutoka Philip Warren Anderson)
Philip Warren Anderson (amezaliwa 13 Desemba 1923 - 29 Machi 2020) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza upitishaji wa umeme, na usumaku.
Mwaka wa 1977, pamoja na John Van Vleck na Nevill Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Pia alikuwa stadi wa mchezo wa Kijapani Go.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Philip Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |