Phil Napoleon
Mandhari
Phil Napoleon (jina la kuzaliwa: Filippo Napoli; Septemba 2, 1901 – Oktoba 1, 1990) alikuwa mpiga tarumbeta wa jazzi wa mwanzo na kiongozi wa bendi, aliyezaliwa Boston, Massachusetts.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Barnhart, Scotty (2005). The World of Jazz Trumpet: A Comprehensive History & Practical Philosophy. Hal Leonard Corporation. uk. 190. ISBN 978-1-61774-762-5.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Phil Napoleon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |