Nenda kwa yaliyomo

Peter Sinkamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Sinkamba (amezaliwa 7 Agosti 1964) [1] ni mjasiriamali na mwanasiasa kutoka Zambia. Alikuwa mgombea wa Chama cha Kijani cha Zambia katika uchaguzi wa urais wa 2015 na 2016.

Biashara[hariri | hariri chanzo]

Sinkamba alikua tajiri kwa kufanya biashara ya usafirishaji mahindi kwenda Zaire . [2]

Harakati za mazingira[hariri | hariri chanzo]

Sinkamba alianzisha Citizens for a Better Environment mwaka 1997 kutokana na hatari za kijamii na kimazingira za uchimbaji wa shaba usiodhibitiwa, hasa kwa watu wanaoishi karibu na migodi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Green Party of Zambia". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Meet A Playboy Entrepreneur Who Went From Making Millions To Making an Impact". Forbes. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Sinkamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.