Pernell McPhee
Mandhari
Pernell McPhee (alizaliwa tarehe 17 Desemba 1988) ni mchezaji wa zamani wa futiboli ya Marekani. Kwa sasa yeye ni Kocha msaidizi katika Chuo Kikuu cha Michigan. Alichaguliwa na Baltimore Ravens katika raundi ya tano ya ligi ya NFL ya mwaka 2011 katika timu ya Mississippi State Bulldogs. Pia amewahi kucheza katika timu ya Chicago Bears na Washington Redskins.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2006 FHSAA Class 2B Football Championship". FHSAA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 9, 2011. Iliwekwa mnamo Februari 21, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2010 Football Roster: Pernell McPhee". Hailstate.com. Mississippi State Athletics. Iliwekwa mnamo 2 Machi 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Pernell McPhee, 2007 Defensive Tackle - Rivals.com". N.rivals.com. 2007-02-08. Iliwekwa mnamo 2022-08-31.