Pemirolast
Mandhari
Pemirolast, inayouzwa kwa majina ya chapa Alamast na mengineyo, ni dawa inayotumika kutibu mzio wa macho.[1] Inatumika kama tone la jicho.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu ya kichwa na kamasi linalotiririka.[1] Usalama wake katika ujauzito na kunyonyesha hauko wazi.[2] Ni kiimarishaji seli za kinga za ukoo wa uboho.[1]
Pemirolast iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1999.[1] Kufikia mwaka wa 2021 haipatikani kibiashara nchini Marekani.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 "Pemirolast Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Pemirolast ophthalmic (Alamast) Use During Pregnancy". Drugs.com. 2 Septemba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Pemirolast Prices and Pemirolast Coupons - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)