Nenda kwa yaliyomo

Pauline Hammarlund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Pauline Louise Hammarlund
Amezaliwa7 mei 1994
Kazi yakemchezaji wa soka

Pauline Louise Hammarlund (aliyezaliwa 7 Mei 1994)[1] ni mshambuliaji wa soka wa Kiswidi ambaye kwa sasa anacheza kwa Fiorentina katika Serie A ya Italia. Awali alikuwa akiichezea Linköpings FC, Piteå IF, na BK Häcken.[2]

  1. "Player Profile". svenskfotboll.se. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-03. Iliwekwa mnamo 2024-05-07. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. http://www.linkopingfc.com/index.php?playerid=105
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pauline Hammarlund kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.