Patrick Swayze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Patrick Swayze
Patrick Swayze 2006.jpg
Greeting fans after Guys and Dolls in 2006
Amezaliwa Patrick Wayne Swayze
(1952-08-18)Agosti 18, 1952
Houston, Texas, U.S.
Amekufa Septemba 14, 2009 (umri 57)[1]
Los Angeles, California, U.S.
Kazi yake Mwigizaji, dansa, mwimbaji-mtunzi
Miaka ya kazi 1978–2009
Ndoa Lisa Niemi (m. 1975–2009) «start: (1975)–end+1: (2010)»"Marriage: Lisa Niemi to Patrick Swayze" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Patrick_Swayze)

Patrick Wayne Swayze (18 Agosti 195214 Septemba 2009) alikuwa mwigizaji, dansa na mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Alikuwa maarufu sana kwa nyusika zake kiongozi-kimahaba katika filamu za Dirty Dancing na Ghost na Orry Main katika mfululizo mfupi wa TV, North and South. Alipewa jina na jarida la People kama "Mtu Mwenye Mvuto Aliye Hai" mnamo 1991.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Actor Patrick Swayze Dies at 57", CBS, 14 Septemba 2009. Retrieved on 14 Septemba 2009. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick Swayze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.