Palma
Mandhari
(Elekezwa kutoka Palma de Mallorca)
Palma (awali: Palma de Mallorca) ni mji wa Hispania, makao makuu ya visiwa vya Baleari.
Mwaka 2018 wakazi wake walikuwa 409,661[1], ukiwa wa kumi na mbili nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Municipal Register of Spain 2018. National Statistics Institute.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Palma de Mallorca travel guide kutoka Wikisafiri
- Official Website Playa de Palma Mallorca
- Palma sightseeing guide
- Palma de Mallorca´s city council Ilihifadhiwa 12 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Official Website for Tourism in Mallorca
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Palma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |