Osaze De Rosario
Mandhari
Osaze Tafari De Rosario (alizaliwa Marekani, 19 Julai 2001) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa klabu ya Tacoma Defiance ya ligi ya MLS Next Pro. Alizaliwa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Kanada Dwayne De Rosario na anachezea timu ya taifa ya Guyana.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sciaretta, Brian (Mei 6, 2022). "Playing in the spotlight of his father's legacy, Osaze De Rosario building his own name with York United". American Soccer Now.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Adams, J.J. (Septemba 1, 2023). "Hell, Heaven and into purgatory: Osaze De Rosario's chaotic soccer journey". The Province.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Osaze De Rosario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[Jamii:{{ #if:2001|Waliozaliwa 2001|Tarehe ya kuzaliwa