Orodha ya milima ya mkoa wa Pwani
Mandhari
Orodha ya milima ya mkoa wa Pwani inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania mashariki. Hakuna hata mmoja unaofikia mita 600 juu ya usawa wa bahari.
- Milima ya Kichi
- Mlima Bupu
- Mlima Chikoo
- Mlima Kibiti
- Mlima Kihita
- Mlima Kiloeko
- Mlima Kisangire
- Mlima Kisura
- Mlima Kurwa na Doto
- Mlima Luhombero
- Mlima Makindu
- Mlima Mnungwi
- Mlima Mtundussi
- Nyanda za juu za Umatumbi
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya milima ya mkoa wa Pwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |