Orodha ya milima ya mkoa wa Kilimanjaro
Mandhari
Orodha ya milima ya mkoa wa Kilimanjaro inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania kaskazini.
- Milima ya Gulela
- Milima ya Kisiwani
- Milima ya Shira
- Milima ya Tossa
- Milima ya Upare
- Mlima Hemwera
- Mlima Kejanja
- Mlima Kilimanjaro
- Mlima Kindoroko
- Mlima Kinondo
- Mlima Kirangi
- Mlima Klute
- Mlima Kolosoya
- Mlima Lalgarjen
- Mlima Makungwini
- Mlima Makungwini Mashariki
- Mlima Moshi
- Mlima Shengena
- Mlima Taroti
- Mlima Umari
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya milima ya mkoa wa Kilimanjaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |