Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya albamu za bei ghali zaidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sgt. Pepper's Lonely Hearts Club Band , mfano wa albamu za ghali

Hii ni orodha ya albamu za bei ghali zaidi zilitengenezwa kwa jumla ya zaidi ya dola milioni 1, zimepangwa kulingana na kiasi cha fedha kilichotumika katika kampeni za matangazo na mabango ya albamu. Mchakato wa kurekodi kawaida unahitaji uwekezaji katika muda wa studio na ujuzi wa kazi za uzalishaji wa rekodi, na mchakato huu unaweza kuwa ghali.[1]

  1. Waldfogel, Joel (2020). Digital Renaissance. Princeton University Press. uk. 34. ISBN 978-0-691-20864-0. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 6, 2023. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2023.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)