Nenda kwa yaliyomo

Omar Ali Mzee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omar Ali Mzee (amezaliwa 5 Juni, 1962) ni mbunge wa jimbo la Kiwani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Omar Ali Mzee". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.