Okwawu United

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya klabu ya Okwawu United

Okwawu Stores United Nkawkaw ni klabu ya kandanda ya Ghana liliokuwa na makao yao Nkawkaw. Klabu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu ya Telecom ya Ghana. Uwanja wao wa kinyumbani ni Nkawkaw Park.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Okwawu katika tarehe 11 Aprili 2007,ilishushwa hadi ligi ya daraja la tatu,kutozwa faini ya cedi milioni 50 na wachezaji kumi na mmoja na maafisa wa timu watano walikatazwa kushiriki katika kandanda kwa mwaka mmoja.Hii ni kwa sababu walishiriki katika mechi iliyopangwa dhidi ya Nania F.C. katika Ligi ya Taifa ya Eneo la Tatu iliyochezwa. Okwawu walipoteza mechi hiyo 0-31.Mechi hiyo ilikuwa imepangwa Okwawu ili ipoteze mechi.

Katibu wa Bodi aliiambia GNA Sports baada ya uamuzi kuwa: "Ingawa ninakubali kuwa tulikuwa na kesi ya haki, bado napata uamuzi kama ulikuwa kali sana.

"Sheria ni sheria na ni kwa sababu hii kwamba mimi ninahisi tunapaswa kushushwa hadi ligi ya daraja la pili badala ya kushushwa hadi daraja la tatu.

"Mimi ninahisi pia DC angefuata mfano wa ligi ya Kiitalia ambapo Juventus ilishushwa hatua moja tu chini baada ya kashfa ya udanganyifu katika ligi yao ya Serie A. "Kututoza faini ya cedi milioni 50 ni uamuzi mbovu!."

Klabu na maafisa wa klabu hiyo walikuwa na saa 72 ya kukataa rufaa dhidi ya uamuzi.

Nyarko alisema usimamizi wake utaamua kama watakata rufaa au la.

Wachezaji kumi na mmoja na maafisa watano walipigwa marufuku ,pia, kutoka kushiriki katika mechi yoyote iliyoandaliwa na ama imekubaliwa na GFA(shirika la soka la Ghana-hasa Ghana Football Association) kwa mwaka mmoja.Huu ulifuatia sheria kulingana na Kifungu 35(5) na pia Kifungu 39(3) na (4) vya GFA.Hukumu hiyo ulifanyika baada ya mwisho wa msimu huo..Hivi sasa makocha,wataalamu wa klabu na wachezaji ni:

Kikosi cha Sasa[hariri | hariri chanzo]

 • GhanaDavid Mensah
 • GhanaDaniel Akuoko
 • GhanaKwame Antwi
 • GhanaRichard Mireku
 • GhanaFrank Turkson
 • GhanaFrancis Kumi
 • GhanaBismak Agyiri
 • GhanaFrancis Cudjoe
 • GhanaEmmanuel Odoi

 • GhanaKofi Owusu
 • GhanaGodspower Igbah
 • GhanaThomas Ackah
 • GhanaAdolf Gyimah
 • GhanaFatawu Alhassan
 • GhanaAwudu Adama
 • GhanaJoseph Aryeetey
 • GhanaKwame Antwi
 • GhanaPeter Aryinator
 • GhanaAkwasi Boakye

Wafanyikazi[hariri | hariri chanzo]

 • Mwenyekiti: Alhaji Sulley
 • Meneja wa Jumla: John Amponsah
 • Mkurugenzi wa Michezo: Atta Kakra
 • Mpishi wa Timu: Nii Welbeck
 • Kocha Mkuu: Adolf Adu Botwe
 • Kocha msaidizi: John Labah

Wachezaji maarufu[hariri | hariri chanzo]

 • Wisdom Abbey
 • Faruk Adamu
 • Charles Akonnor
 • Charles Amoah
 • Oscar Amoabeng
 • Kwame Antwi
 • Thomas Avegbordor
 • Aminu Ayuba
 • Osei Bonsu
 • Abdul Fatawu Dauda
 • Bismark Ekye
 • Nasiru Gani
 • Issaka Ibrahim
 • Isaka Kuffour
 • Azuma Nelson
 • Obed Owusu
 • Nii Welbeck
 • Anthony Yeboah
 • Abubarkar Yusuf

Utendaji katika mashindano ya CAF[hariri | hariri chanzo]

 • Kombe la CAF la Washindi:Wameshiriki mara mbili
  • 1987: Walitoka katika raundi ya pili
  • 1972: Ilijitoa katika raundi ya kwanza.

Wakufunzi wa Zamani[hariri | hariri chanzo]

 • Sam Arday
 • Emmanuel A. Afranie
 • Francis Oti Akenteng
 • Nii Adu Sackey
 • Herbert Addo
 • Nana Kwaku Agyemang

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. http://www.ghanafa.org/divisiononeleague/200704/1861.asp
 2. http://en.wikipedia.org/wiki/Okwawu_United#cite_ref-0
 3. Takwimu za timu ya Okwawu

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]