Nenda kwa yaliyomo

Nyumbufu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magimba nyumbufu, nusunyumbufu, yasiyo nyumbufu

Nyumbufu ni tabia ya mata kuwa kinamo, yaani inaweza kubadilisha umbo lake kama inaathiriwa na kani lakini baadaye inarudi tena katika hali ya awali.

Kila mata nyumbufu inamipaka ya unyumbufu wake. Yaani kama kamba ya raba inavutwa sanasana, haitarudi kabisa kwa urefu asilia lakini itakuwa kiasi kirefu zaidi.