Nyasa (maana)
Mandhari
Nyasa inaweza kumaanisha
- Ziwa Nyasa, ziwa kubwa katika Afrika ya Mashariki (pia: Ziwa Malawi)
- Wanyasa - jina kwa makabila mbalimbali yanayoishi katika mazingira ya ziwa, pia
- Kinyasa. jina kwa lugha zao hata kama lugha hizi mara yningi hutajwa kwa majina tofauti[1]
- Nyasa (Masasi), kata ya Wilaya ya Masasi Mjini, Mkoa wa Mtwara, Tanzania