Nyaniso Dzedze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyaniso Dzedze
Amezaliwa Nyaniso Dzedze
1986
Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji,mwimbaji na densi
Ndoa Mke wake Yana Fay Dzedze

Nyaniso Ntsikelelo Dzedze ni msanii wa maonyesho kutoka Afrika Kusini.[1] Alizaliwa 1986 na kukulia Johannesburg. Ni mwigizaji, densi, mwimbaji na anajulikana sana kwa majukumu yake ya kuongoza kama Simba katika albamu ya Beyonce Black Is King.[2]

Mchezo wake wa kwanza wa luninga wa Afrika Kusini ulikuwa Ashes to Ashes ambapo aliigiza kama Tsietsi Namane kwenye e.tv telenovela.[3][4][5][6]

Anajulikana pia kuigiza muhusika mkuu Muzi kwenye filamu ya Hear Me Move-Filamu ya muziki ya kwanza ya Kiafrika Kusini.[7]


Alipokea uteuzi wa mwigizaji anayevutia zaidi katika tuzo za 12 za filamu za Afrika kutoka Rivers State.

Mke wake Yana Fay Dzedze ni Mjerumani.[8]


Filamu[hariri | hariri chanzo]

Runinga na Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • Ashes to Ashes (South African TV series)|Ashes to Ashes
  • Generations: The Legacy|Generations
  • Hear Me Move
  • Black Is King
  • Binnelanders
  • Rhythm City (TV series)|Rhythm City

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Breathing life into his character | IOL". IOL. Iliwekwa mnamo 2016-01-27. 
  2. Black Is King, iliwekwa mnamo 2020-08-04 
  3. "Nyaniso Dzedze | TVSA". www.tvsa.co.za. Iliwekwa mnamo 2016-01-27. 
  4. "Ashes To Ashes | e.tv". www.etv.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-05. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. "Hear Me Move premiere sets social media in motion". DRUM. Iliwekwa mnamo 2016-01-27. 
  6. Loewenstein, Michelle. "Nyaniso Ntsikelelo Dzedze likes to move it". The Citizen. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  7. Hear Me Move, iliwekwa mnamo 2020-07-31 
  8. "South Africa: Minister Nathi Mthethwa Congratulates Youth Involved With "Hear Me Move" Film". allafrica.com. Iliwekwa mnamo 7 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyaniso Dzedze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.