Noti (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Noti inaweza kumaanisha

  • Noti ya benki, kipande cha karatasi kinachotolewa na serikali ili kutumika kama fedha.
  • Noti ya muziki, alama inayowakilisha sauti katika muziki.
  • Noti (kizio), kizio cha kasi cha kutaja mwendo wa maili 1 ya baharini wa saa.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.