North West Eagles (timu)
Mandhari
North West Eagles ni timu ya mpira wa kikapu ya Afrika ya kusini inayopatikana katika mji wa Potchefstroom, mkoa wa kaskazini Magharibi mwa Afrika ya kusini. TImu ilishiriki katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1]
Wachezaji mashuhuri
[hariri | hariri chanzo]kukidhi vigezo katika sehemu hii mchezaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo
- Awe na historia na mchango katika maendeleo ya clabu au awe na tuzo binafsi kama mchezaji maarufu.
- Awe angalau ameshacheza mechi za kimataifa akiwa katika timu yake ya kawaida au mchezo mmoja wa NBA
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ <img Alt= Src='http://2.gravatar.com/Avatar/2a67618a62bd4fd97af335477dc6ddab?s=72, #038;d=mm, #038;r=g' Srcset='http://2.gravatar.com/Avatar/2a67618a62bd4fd97af335477dc6ddab?s=144, #038;d=mm, #038;r=g 2x' class='avatar avatar-72 photo' height='72' width='72' loading='lazy'/> S, y Sutherl (2014-09-20). "The Mogul's Insight : BNL season 2014 | MyBasketball". MyBasketball | South Africa's basketball community (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-02. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)