Norrtälje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norrtälje

Norrtälje ni manispaa na mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 16,263 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1622.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 7.46 km². Umbali na Jiji la Stockholm ni 68 km.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Norrtälje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.