Norma Kassi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Norma Kassim (amezaliwa 10 Aprili 1954) ni mzaliwa wa Gwich'in kutoka Yukon Territory, Kanada, na mjumbe wa zamani wa Bunge la Yukon na mkuu wa zamani wa Vuntut Gwitchin First Nation. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 2002, pamoja na Sarah James na Jonathon Solomon.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]