Nondi Mahlasela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nondi Mahlasela (amezaliwa tarehe 25 Desemba mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa Botswana ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Prison na timu ya taifa ya wanawake ya soka ya Botswana.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Namibian women footballers' Olympic dream shattered by Botswana". Xiang Bo. Xinhua. 2019-04-10. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-05. Iliwekwa mnamo 2021-09-05. 
  2. "Botswana touring Slovakia ahead of Banyana clash". Samuel Ahmadu. Goal. 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-09-05. 
  3. "Gladiators go down to Botswana". The Nambian. 2019-04-09. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-05. Iliwekwa mnamo 2021-09-05. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nondi Mahlasela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.