Njeri Luseno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Njeri Luseno (pia anajulikana kama Njeri Osaak) ni mwigizaji wa kike wa Kenya.

Amefanya kazi na waigizaji kama Paul Onsongo [1] na John Sibi Okumu na kuwashirikisha kwenye filamu nyingi za kikenya mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. {{cite news|url=http://allafrica.com/stories/200605220321.html%7Ctitle=When[dead link] the Elite Have to Go Back to 'Roots'|date=21 May {{2006}|newspaper=Daily Nation|accessdate=8 April Kigezo:2010
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njeri Luseno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.