Nicky, Ricky, Dicky and Dawn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicky, Ricky, Dicky & Dawn ni safu ya vichekesho ya runinga ya Marekani iliyotengenezwa na Michael Feldman na iliyoundwa na Matt Fleckenstein iliyorushwa kwa Nickelodeon kutoka Septemba 13, 2014 hadi Agosti 4, 2018.

Nyota ni Brian Stepanek, Allison Munn, Aidan Gallagher, Casey Simpson, Mace Coronel, Lizzy Greene, Gabrielle Elyse, na Kyla-Drew Simmons.

Ni kipindi kinachohusu watoto pacha wanne wakiwa na wazazi wao wawili na mbwa wao.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicky, Ricky, Dicky and Dawn kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.