Nenda kwa yaliyomo

Ngaira Mandara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngaira Mandara ni msanii mbunifu kutoka nchini Tanzania[1] anayetumia kipaji chake kuelimisha jamii juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na athari zinazotokana na mabadiliko hayo. [2].

Elimu yake

[hariri | hariri chanzo]

Mandara alisoma katika chuo kikuu cha United States International University (USIS) kilichopo nchini Kenya.[3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-04. Iliwekwa mnamo 2019-04-04.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-04. Iliwekwa mnamo 2019-04-04.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-04. Iliwekwa mnamo 2019-04-04.