Nenda kwa yaliyomo

New Ford-Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka New Ford-K)

New Ford-Kenya ilikuwa chama cha kisiasa nchini Kenya kilichojitenga na FORD-Kenya kabla ya uchaguzi 2007. Kiongozi wake alikuwa Mukhisa Kituyi. Kilishiriki na Party of National Unity na kumpigania Mwai Kibaki kwa nafasi ya rais.

Chama kiliingia bungeni na wabunge 3.

Kilisambaratika mwaka 2016.