Nedokromili
Mandhari
Nedokromili (Nedocromil), inayouzwa kwa jina la chapa Alocil miongoni mwa mengineyo, ni dawa inayotumika kutibu mwasho unaotokana na mzio kwenye utando unaofunika sehemu nyeupe ya jicho.[1]
Dawa hii inatumika kama tone la jicho.[2]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu ya kichwa, macho kuwasha, na pua yenye kamasi linalotiririka.[1] Hakuna ushahidi wa madhara inapotumika katika ujauzito.[3] Ni kiimarishaji seli za kinga za familia ya tishu za uboho wa mfupa, ambayo hupunguza kuongezeka kwa histamini.[2]
Nedocromil iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1999.[1] Nchini Marekani, inagharimu takriban dola 230 kwa chupa ya mililita tano.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Nedocromil (EENT) Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "AHFS2021" defined multiple times with different content - ↑ 2.0 2.1 "ALOCRIL (nedocromil sodium) solution/ drops". DailyMed. U.S. National Institutes of Health. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "PI2021" defined multiple times with different content - ↑ "Nedocromil ophthalmic (Alocril) Use During Pregnancy". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nedocromil Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)