Natal, Rio Grande do Norte
Mandhari
(Elekezwa kutoka Natal (Rio Grande do Norte))
Natal | |||
| |||
Majiranukta: 5°47′00″S 35°12′00″W / 5.78333°S 35.20000°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Northeast | ||
Jimbo | Rio Grande do Norte | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 806,203 | ||
Tovuti: www.natal.rn.gov.br |
Natal ni jina la mji mkuu wa jimbo la Rio Grande do Norte katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 800,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 30 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Natal, Rio Grande do Norte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |