Nasreem Ndiye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Nasreem Ndiye
Amezaliwa1986
Mwanza
NchiTanzania
TajiMiss Tanzania 2008


Nasreem Ndiye ni mrembo aliyeiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2008 nchini Afrika Kusini. Alizaliwa mnamo mwaka wa 1986. Kwa sasa anachukua digrii yake ya masuala ya Mahusiano ya Kimataifa. Yeye anataka afanyekazi katika mashirika ya wahisani.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasreem Ndiye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.